Wasiliana Nasi

Wasiliana na timu ya Kubetibora kwa maswali, masahihisho au maoni kupitia barua pepe.

Tuandikie kwa barua pepe: [email protected]

Tunafurahi kupokea:

  • masahihisho ya taarifa zisizo sahihi au zilizopitwa na wakati;
  • maswali kuhusu kurasa zetu;
  • maoni kuhusu jinsi tunavyoweza kuboresha tovuti.

Tafadhali kumbuka:

  • Kubetibora si kampuni ya kubeti. Hatuwezi kukusaidia kuhusu akaunti, malipo au tiketi zako kwenye kampuni yoyote. Kwa masuala hayo, wasiliana na huduma kwa wateja ya kampuni husika.
  • Malalamiko dhidi ya kampuni yenye leseni yanaweza kuwasilishwa kwa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania kupitia gamingboard.go.tz au [email protected].
  • Usitutumie nenosiri, PIN au taarifa za akaunti yako.

Kubeti ni kwa watu wenye umri wa miaka 18 au zaidi.